Familia zilizoathirika na mafuriko Narok zapata msaada

  • | KBC Video
    12 views

    Zaidi ya familia 300 zilizoathiriwa baada ya mto Talek katika Kaunti ya Narok kuvunja kingo zake na maji yake kusomba kambi 14 za watalii katika hoteli ya Maasai Mara, zimepokea vyakula na mahitaji mengine muhimu ya thamani ya shilingi milioni 1.5 kutoka kwa wahisani. Haya yanajiri huku chama kimoja katika kaunti ya Kisii kikishirikiana na shirika la USAID kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya hali ya anga katika kaunti hiyo kupitia usimamizi wa chemchemi za maji.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive