Familia zinazoongozwa na wanawake nchini India: 'Niliogopa kutoka hata nje ya mlango'

  • | BBC Swahili
    368 views
    India imeipiku China kama nchi yenye watu wengi zaidi duniani lakini wanawake wa India bado wako nyuma katika soko la ajira. Kitamaduni Mwanamume ndiye kiongozi wa nyumba lakini mume wa Usha Devi alipoenda kutafuta kazi mbali na kijiji chake, alichukua jukumu la kuwa kiongozi wa nyumba. #bbcswahili #india #wanawake