- 54 viewsDuration: 3:19Furaha ya Krismasi ilijiri mapema kwa zaidi ya familia elfu-1 zinazoranda mtaani jijini Nairobi huku shirika la Child Compassion kwa ushirikiano na serikali ya kaunti ya Nairobi na wakfu wa Krishna zikiandaa mpango wao wa kila mwaka wa kutoa lishe ya Krismasi kwa familia hizo. Mpango huo ulilenga kuleta furaha, utu na shangwe za sherehe kwa wasiojiweza katika jamii. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive