Frida Mokaya ateuliwa kuwa msajili wa idara ya mahakama

  • | Citizen TV
    310 views

    Frida Mokaya Boyani ndiye atakayekuwa msajili wa idara ya mahakama. Hii ni baada ya tume ya huduma kwa idara ya mahakjama (JSC) kumchagua Boyani atakayehudumia afisi hiyo kwa mda wa miaka mitano baada ya kuwashinda wenzake wengine sita waliohojiwa .