Skip to main content
Skip to main content

Fujo Mathira baada ya mwili wa mtoto kupatikana chooni, nyumba ya mshukiwa yateketezwa

  • | Citizen TV
    6,202 views
    Duration: 3:02
    Kizaazaa na fujo zilishuhudiwa siku kutwa katika eneo la mathira kaunti ya Nyeri, ambapo polisi na wakazi wa Kijiji cha Rititi walikabiliana vikali. Hii ni baada ya wakazi kuopoa mwili wa mtoto wa miaka 9, uliokuwa umetupwa chooni. Mtoto huyo, Shantel Waruguru aliyekuwa ameripotiwa kutoweka jumamosi, alipatikana amekatakatwa na kutupwa chooni humo. Wakazi pia wlaiteketeza nyumba ya mshukiwa na nyanya ya mtoto huyo wakidai kuwa waili hao walishirikiana kujaribu kuficha mwili.