Fumbo la Maiti: Mwili wa mpendwa wakosa viungo

  • | KTN News
    521 views

    Familia moja kutoka malindi kaunti ya kilifi inakumbwa na masikitiko na mshangao baada ya mwili wa mpendwa wao kusafirishwa humu nchini kutoka nchini italia ukiwa bila viungo kadhaa vya ndani. Amani Justine Luwali ambaye ni mtoto wa sita katika familia hii alikuwa ameolewa