Skip to main content
Skip to main content

Gachagua akosoa ulinzi wa uchaguzi wa Ol Kalou

  • | Citizen TV
    3,100 views
    Duration: 1:52
    Kinara wa Democracy for the Citizens Party, Rigathi Gachagua, ameendelea kukosoa idadi ya maafisa wa usalama waliotumwa kusimamia uchaguzi mdogo wa hapo kesho katika eneo bunge la Ol Kalou. Gachagua amempa changamoto Rais William Ruto kutotumia vyombo vya usalama kuathiri uchaguzi huo, akisema ushindani unapaswa kuamuliwa na uungwaji mkono wa wapiga kura.