Skip to main content
Skip to main content

Gachagua alegeza msimamo kuhusu muungano wa upinzani

  • | Citizen TV
    3,777 views
    Duration: 2:23
    Kinara wa DCP Rigathi Gachagua leo hii ameonekana kulegeza msimamo wake kuhusu uhusiano wa chama chake na vyama vingine vya upinzani kutoka eneo la Mlima Kenya. Sasa Gachagua akionekana kuwa mwepesi wa maneno akitaka ushirikiano na vinara wenzake kwenye vyama hivyo na kupigia debe haja ya muungano mpya kubuniwa eneo hilo la Mlima Kenya.