Skip to main content
Skip to main content

Gachagua amsifia marehemu Raila kwa udhabiti wa ODM

  • | KBC Video
    451 views
    Duration: 4:43
    Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua amempongeza aliyekuwa waziri mkuu marehemu Raila Odinga kwa kutanguliza suala la taaluma wakati wa kubuni chama cha ODM. Gachagua amesema ODM, kwa kipindi cha miaka kadhaa ilijivunia kuwa na viongozi wenye vipawa. Gachagua amesema ni kupitia mbinu hiyo ana nia ya kujumuisha viongozi wenye taaluma katika chama chake cha Democracy for the Citizen. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive