- 25,126 viewsDuration: 3:29Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amemshambulia Rais William Ruto kabla ya hotuba yake kwa taifa, akisema Wakenya wataridhishwa na hotuba hiyo iwapo Rais atazungumza kwa ukweli na uwazi kuhusu hali halisi ya nchi. Gachagua amemtaka Rais kueleza kile alichokitaja kuwa kushindwa kwa serikali kulinda maisha ya wananchi, kuhakikisha usalama, pamoja na kushughulikia changamoto zinazokumba sekta za elimu na afya. Brenda Wanga ana taarifa zaidi.