- 13,374 viewsDuration: 4:05Aliyekuwa naibu Rais nchini Kenya Rigathi Gachagua amepata pigo baada ya Mahakama Kuu kutupilia mbali kesi aliyowasilisha na kutoa uamuzi kuwa Bunge lilichukua hatua kulingana na Katiba ya nchi kumuondoa madarakani. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw