- 1,705 viewsDuration: 2:58Kinara wa DCP Rigathi Gachagua sasa anataka maafisa wakuu wa usalama kaunti ya Nakuru kubadilishwa, akisema wameshindwa kutekeleza majukumu yao. Akizungumza wakati wa mazishi ya kasisi Julius Ngari aliyeuawa katika makazi yake ndani ya majengo ya kanisa la PCEA Tabuga, Gachagua amesema utepetevu wa usalama Nakuru umekithiri katika hali inayowatia hofu wakazi na viongozi wa makanisa.