Skip to main content
Skip to main content

Gachagua ataka majibu kuhusu mauaji ya kasisi PCEA Tabuga

  • | Citizen TV
    1,334 views
    Duration: 2:29
    Kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua ameitaka Serikali Kutoa majibu kuhusu mauaji ya Kasisi Msimamizi wa Kanisa la PCEA Tabuga huko Nakuru, Marehemu Kasisi Julius Ndumia aliyepatikana ameuwawa wiki iliyopita akiwa katika makazi yake ndani ya kanisa.