Gachagua atubu kimya cha siku 7, asema alielekea katika Mlima Kenya kupiga dua

  • | NTV Video
    417 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua ametoa onyo kwa viongozi anaodai wanataka kudhoofisha azma yake ya kisiasa ya kuunganisha eneo la Mlima Kenya na kusema kuwa wanaopanga kufifisha nyota yake wanaota ndoto.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

    #RigathiGachagua #Limuru3 #PresidentRuto