Skip to main content
Skip to main content

Gachagua awataka viongozi kutangaza njaa janga la kitaifa

  • | Citizen TV
    1,547 views
    Duration: 2:43
    Kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua sasa anasema shilingi bilioni 4 zilizotolewa na serikali kukabiliana na kiangazi katika kaunti 23 nchini hazitoshi. Akizungumza katika makao makuu ya chama cha DCP, jijini Nairobi, Gachagua pia alimtaka rais Ruto kutangaza njaa kuwa janga la kitaifa ili kuvutia msaada wa kutosha.