Skip to main content
Skip to main content

Gachagua azungumzia sakata ya mafuta, adai wahusika walijikanga wenyewe

  • | Citizen TV
    26,021 views
    Duration: 3:06
    Kinara wa DCP na aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, amesisitiza msimamo wake kuhusu sakata ya uagizaji wa mafuta, akidai kuwa kukamatwa kwa maafisa watatu wanaohusishwa na kashfa hiyo kunatokana na mgogoro wa kibiashara. Gachagua akidai kuwa kukamatwa kwao si suala la uwajibikaji pekee, bali kunachochewa na mzozo wa kibiashara unaohusishwa na mpango wa serikali kwa serikali wa G-to-G unaowahusisha maafisa wakuu katika sekta ya petroli kama anavyoarifu Ben Kirui