Gachagua kufungua rasmi maonyesho ya kilimo kaunti ya Mombasa

  • | Citizen TV
    196 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua Anafungua Rasmi Maonyesho Ya Kilimo Kaunti Ya Mombasa. Washiriki Zaidi Ya 250 Wanahudhuria Maonyesho Ya Mwaka Huu Yanayolenga Kuimarisha Mbinu Za Kilimo.Francis Mtalaki Anahudhuria Hafla Hiyo Na Sasa Anaungana Nasi Mubashara Kwa Mengi Zaidi.