Skip to main content
Skip to main content

Gachororo: wakazi kunufaika baada ya kukamilika kwa hospitali mpya ya Level Four

  • | NTV Video
    276 views
    Duration: 2:09
    Matumaini mapya yamechipuka Gachororo baada ya kukamilika kwa hospitali mpya ya Level Four yenye uwezo wa kuhudumia wagonjwa 189, hatua inayotarajiwa kupunguza safari ndefu za kutafuta matibabu na msongamano katika hospitali za Thika na Ruiru. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya