Skip to main content
Skip to main content

Gari la fataki lalipuka katikati ya barabara

  • | BBC Swahili
    6,535 views
    Duration: 59s
    Tazama kilichotokea baada ya gari lililokuwa likisafirisha fataki kushika moto barabarani. Fataki hizo zilianza kulipuka bila kutarajiwa, hali iliyosababisha kusimama kwa shughuli za usafiri katika pande zote za barabara kuu karibu na mji wa Chattanooga, jimboni Tennessee nchini Marekani. Fataki hizo zilidumu kwa dakika kadhaa kabla ya kudhibitiwa. Kwa mujibu wa idara ya zimamoto, hakuna mtu aliyejeruhiwa katika tukio hilo. #bbcswahili #MAREKANI #fataki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw