- 3,616 viewsDuration: 39sMwanaume mmoja amekamatwa kwa tuhuma za wizi wa kutumia nguvu baada ya kujaribu kuvamia duka la vito vya thamani mjini Bradford, Uingereza. Video za CCTV zinaonyesha gari likirudi nyuma na kugonga sehemu ya mbele ya duka kabla ya kundi la wanaume kuingia ndani ya jengo hilo. Hakuna bidhaa yoyote iliyoibwa. #bbcswahili #uingereza #wiziwaduka #vitovyathamani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw