Skip to main content
Skip to main content

Gari lazama katika maji China

  • | BBC Swahili
    9,619 views
    Duration: 40s
    Tazama namna magari yalivyozama kwenye maji ya mafuriko baada ya mvua kubwa kusababisha Mto Jian nchini China kufurika. Shahidi mmoja alirekodi tukio la gari likisombwa na maji ya mafuriko. Mafuriko hayo pia yamesababisha vifo vya takriban watu 10 katika maeneo ya kusini na katikati mwa China. #bbcswahili #china #mafuriko Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw