Skip to main content
Skip to main content

Gavana Abdulswamad ataka umoja udumishwe chamani

  • | Citizen TV
    292 views
    Naibu kinara wa ODM Abdulswamad Sharif Nassir ametaka viongozi chamani humo kudumisha umoja akisema mazungumzo kati ya ODM na UDA yanatazamiwa kuanza na ni sharti chama hicho kuzungumza kwa sauti moja.