Gavana Barasa aonya wafanyikazi mafisadi katika idara ya kukusanya ushuru Kakamega

  • | Citizen TV
    88 views

    Gavana Wa Kaunti Ya Kakamenga, Fernades Barasa Ametoa Onyo Kwa Wafanyakazi Mafisadi Wa Idara Ya Kukusanya Ushuru Ya Kaunti Hiyo. Akizungumza Kwenye Mkutano Na Maafisa Hao Mjini Kakamega, Barasa Alieleza Matumaini Yake Kuwa Kaunti Hiyo Inalenga Kukusanya Zaidi Ya Shilingi Bilioni Mbili Katika Mwaka Huu Wa Kifedha.