Gavana Barchok amempongeza Rais William Ruto kwa kuwasimamisha kazi mawaziri wake

  • | Citizen TV
    1,747 views

    Gavana Barchok amesema kuwa hatua hiyo inadhihirisha kuwa Rais ni anawasikiza wakenya na yuko tayari kusuluhisha masaibu yao.Wakati huo huo Barchok amelaumu wanasiasa kwa maandamano ya vijana waliofululiza hadi ofisini kwake kumtaka awajibike.