Skip to main content
Skip to main content

Gavana Dkt. Badilisha akagua miradi ya maendeleo Nyandarua

  • | Citizen TV
    19 views
    Serikali ya Kaunti ya Nyandarua imeelezea kuimarisha mpango wa kuboresha barabara katika baadhi vituo vya kiabiashara katika kaunti hiyo. Akizungumza akiwa katika ziara ya ukaguzi katika kituo cha biashara cha Gwa Kung’u, katika Wandi ya Leshau Pondo eneo mbunge la Ndaragwa, Ngavana Kiarie Badilisha alisisitiza dhamira ya uongozi wa serikari katika uboreshaji wa barabara na huduma za usafi wa mazingira .