Skip to main content
Skip to main content

Gavana Fatuma Achani azindua miradi ya maji Kinango

  • | Citizen TV
    132 views
    Duration: 2:09
    Gavana wa Kwale Fatuma Achani amefungua rasmi kisima cha maji kilicho na mtambo wa kusafisha maji ya chumvi cha Shirika la kijamii la Masowatt huko Kilibasi pamoja na usambazaji wa mabomba ya maji ya Mtulu kwenda Mwakunde, Mwanzungu na Magalani huko Kinango.