Gavana Fernandes Barasa atangaza baraza lake la mawaziri

  • | West TV
    52 views
    Gavana wa Kaunti ya Kakamega Fernandes Barasa ametaja baraza lake la Mawaziri watakaopigwa msasa na Bunge la Kaunti hiyo ili kuanza kuwahudumia wakazi wa Kakamega.