Gavana George Natembeya ataka vyombo vya habari kuzidi kutoa mwelekeo wa uadilifu

  • | West TV
    56 views
    Gavana wa kaunti ya Trans Nzoia George Natembeya amejitokeza na kuvitaka vyombo vya habari kuwa mstari wa mbele kuwaanika wafisadi na kutoa mwelekeo wa uadilifu kwa umma