Gavana Gideon Mung'aro awaonya wanakandarasi na maafisa dhidi ya kujihusisha na ufisadi

  • | Citizen TV
    110 views

    Gavana Gideon Mung'aro amewaonya wanakandarasi na maafisa wa kaunti dhidi ya kujihusisha na ufisadi ambao unaathiri shughuli za serikali ya kaunti kwa wananchi.