Gavana Guyo atazamiwa kufika mbele ya Seneti leo

  • | NTV Video
    1,062 views

    Gavana wa Isiolo Abdi Guyo alieyeondolewa mamlakani na wawakilishi wa wadi anatazamiwa kufika mbele ya Seneti hii leo huku Bunge la seneti likianza kikao cha siku mbili kujadili pendekezo lake la kuondolewa afisini.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya