Skip to main content
Skip to main content

Gavana Kachapin: Leseni za wachimbaji dhahabu kuondolewa

  • | Citizen TV
    107 views
    Duration: 1:27
    Gavana wa Kaunti ya West Pokot, Simon Kachapin, anaitaka serikali kufutilia mbali leseni zote za wachimbaji dhahabu katika kaunti hiyo, akisema kuwa wengi wao hawajazingatia sheria za kulinda mazingira na hivyo kusababisha uharibifu mkubwa wa mazingira katika eneo hilo.