Skip to main content
Skip to main content

Ubomozi watekelezwa kwenye ardhi ya mzozo Marurui inayodaiwa kumilikiwa na marehemu John Michuki

  • | KBC Video
    15,369 views
    Duration: 2:56
    Mamia ya polisi walipelekwa leo huko Marurui kaunti ya Kiambu katika barabara ya Northern Bypass huku nyumba zikibomolewa kwenye kipande cha ardhi ya ekari mia tatu inayozozaniwa inayodaiwa kumilikiwa na aliyekuwa waziri wa usalam awa taifa marehemu John Michuki.Wakazi wanadai hawakupewa arifa ya kuondoka na kusema agizo la mahakama la kusimamisha ubomozi huo lilipuuzwa.Ufurushaji huo umeacha familia kadhaa bila makao ,huku kukiwa na madai tatanishi kuhusu umiliki wa ardhi hiyo inayozozaniwa.Ben Chumba na maelezo zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive