Skip to main content
Skip to main content

Mhubiri auawa na majambazi usiku wa Jumapili ndani ya Kanisa lake, Lanet, Nakuru

  • | Citizen TV
    21,751 views
    Duration: 5:42
    Kasisi msimamizi wa kanisa la PCEA Tabuga eneo la lanet kaunti ya Nakuru ameuawa usiku wa kuamkia Leo na majambazi ambao waliovunja lango la kanisa hilo na kuharibu mali. Evans Asiba Yuko hapo na sasa tunaungana naye moja Kwa moja Kwa taarifa zaidi