Gavana Muthomi Njuki aonya wanaokosa kuhudumia wagonjwa kutokana na matatizo yanayokumba SHA

  • | Citizen TV
    47 views

    Gavana Wa Tharaka Nithi Muthomi Njuki Amewaonya Wahudumu Wa Afya Katika Hospitali Ya Kaunti Na Kitaifa Kutowahudumia Wagonjwa Kutokana Na Matatizo Yanayokumba Mfumo Mpya Wa Bima Ya Afya Sha.