Gavana Natembeya aachiliwa huru kwa thamana

  • | KBC Video
    443 views

    Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya ameachiliwa huru kwa bondi ya shilingi milioni-1 baada ya kukanusha mashtaka ya tuhuma za ufisadi. Hakimu wa mahakama inayoshughulikia kesi za ufisadi Charles Ondieki aliamuru kwamba upande wa mashtaka haukuwasilisha ushahidi wa kutosha kushawishi kuzuiliwa kwa gavana huyo korokoroni. Gavana huyo aliyekanusha mashtaka yote matatu dhidi yake ikiwemo ubadhirifu wa shilingi milioni-6 kutoka kwa serikali ya gatuzi la Trans Nzoia, hatahivyo, amezuiwa kuingia katika afisi yake kwa muda wa miezi miwili ijayo. Mwanahabari wetu Ruth Wamboi na uketo wa taarifa hii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive