16 Dec 2025 1:23 pm | Citizen TV 269 views Duration: 1:34 Gavana wa Kaunti ya Vihiga Dkt Wilber Otichilo ametia sahihi miswada mitatu katika serikali ya Kaunti ya Vihiga inayotarajiwa kuanza kutumika kama sheria katika sekta mbali mbali.