Gavana Otuoma asema mikakati ya kudhibiti virusi vya Ebola imeimarishwa Busia

  • | KBC Video
    14 views

    Serikali ya kaunti ya Busia imewahakikishia wakazi kuwa imeweka mikakati madhubuti ya kuzuia kuenea kwa virusi vya Ebola katika eneo hilo huku gavana wa kaunti hiyo Dr, Paul Otuma na mrakibu wa kanda ya Mmagharibi Isaiah Nakoru wakiwahimiza wakazi kutotangamana kiholela na kudumisha usafi ili kudhjkbiti maambukzi ya Ebola

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #KenyaElection2022 #News