Gavana Sakaja apanua mpango wa kutoa lishe shuleni

  • | Citizen TV
    127 views

    Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja ametangaza mpango wa kupanua mradi wa lishe katika shule maarufu "Dishi Na County" ili shule zote katika mitaa ya mabanda iweze kunufaika.