Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa Busia alalamikia kudhalilishwa na kamati ya Seneti

  • | Citizen TV
    966 views
    Duration: 1:54
    Gavana wa Busia Paul Otuoma amewafokea vikali maseneta hasa wa kamati ya uhasibu kwa kumdhalalisha wakati wa vikao vya seneti mashinani vilivyokuwa katika bunge la kaunti hiyo mapema mwezi huu wa Oktoba.