Gavana wa Kakamega azindua mradi wa ujenzi wa miundo msingi

  • | Citizen TV
    92 views

    Vitongoji duni vitano katika kaunti ya Kakamega vimepangiwa kuboreshwa kupitia miundo msingi ili kupunguza viwango vya umasikini maeneo hayo.