- 1,323 viewsDuration: 1:24Gavana wa kakamega Fernandes Barasa ameendeleza kampoeni za ODM katika kaunti hiyo akieleza sababu za Kakamega kupewa nafasi ya uongozi wa chama hicho wa ngazi ya juu. Akizungumza huko Bukura, kaunti ndogo ya Lurambi wakati wa ugawaji wa bidhaa za kilimo, Barasa alisema nafasi ya naibu kiongozi wa chama cha ODM inapaswa kwenda kwa mtu kutoka Kakamega kwa kaunti hiyo ina uungwaji mkubwa wa ODM kuliko kaunti zingine za magharibi.