Gavana wa Kakamega Fernandes Barasa asema serikali imechelewesha mgao wa pesa ya kaunti

  • | Citizen TV
    354 views

    Gavana wa Kakamega Fernandes Barasa amemtaka Seneta wa Kakamega Daktari Boni Khalwale kuunga mkono hoja zitakazopiga jeki maendeleo mashinani.