Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa kaunti ya Kwale Fatuma Achani amezindua rasmi uchimbaji wa visima 28 vya maji

  • | Citizen TV
    116 views
    Duration: 1:45
    Gavana wa kaunti ya Kwale, Fatuma Achani, amezindua rasmi uchimbaji wa visima 28 vya maji vinavyotumia nishati ya jua katika maeneo mbalimbali ya kaunti hiyo.