Gavana wa kaunti ya Nandi Stephen Sang atilia shaka operesheni katika Bonde la Ufa

  • | K24 Video
    143 views

    Wizara ya usalama inapoendelea na operesheni ya kukomesha wizi wa mifugo katika maeneo ya kaskazini mwa Bonde la Ufa, gavana wa kaunti ya Nandi Stephen Sang anatilia shaka operesheni kwa sababu wizi wa mifugo bado unaendelea. Hayo yanajri huku familia ya Kelvin Kiptanui aliyefariki shuleni Chemase ikiendelea kusubiri matokeo ya ukaguzi wa mait