- 296 viewsDuration: 1:07Gavana wa Kaunti ya Narok Patrick Ole Ntutu amewarai wanasiasa kukomesha kampeni za mapema za kutaka kumrithi na badala yake wampe nafasi ya kukamilisha miradi aliyowaahiri wananchi. Akizungumza huko Melelo,Narok Kusini alipozindua rasmi zahanati ya kwanza eneo hilo, Gavana Ntutu aliwataka wapinzani kuacha uchochezi akisema unahujumu miradi ya kuwanufaisha wananchi.