- 1,056 viewsDuration: 4:03Gavana wa kaunti ya nyamira Amos Nyaribo amemsuta waziri wa afya Aden Duale, kwa matamshi yake kwamba sekta ya afya katika kaunti ya nyamira imefeli. Nyaribo amesisitiza kuwa hatachukua mashine zinazotolewa na wizara ya afya kwa serikali za kaunti, akidai ni biashara isiyo na manufaa kwa wakazi wa kaunti hiyo.