- 470 viewsDuration: 1:39Gavana wa Kaunti ya Trans Nzoia, George Natembeya, ameikosoa vikali Wizara ya Fedha kwa kuchelewesha utoaji wa fedha kwa serikali za kaunti, hatua ambayo amesema inadhoofisha pakubwa ugatuzi na kusababisha kudorora kwa utekelezaji wa miradi ya maendeleo mashinani.