13 Oct 2025 10:33 am | Citizen TV 180 views Duration: 1:30 Gavana wa Meru Isaac Mutuma amezidua Mashindano ya Michezo , yanayolenga kuwaleta pamoja vijana kuangazia na kumaliza Mimba za utotoni, Dhuluma za kijinsia na dawa za Kulevya katika jamii.