Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja atoa mustakabali wa Nairobi

  • | Citizen TV
    1,029 views

    Gavana wa Kaunti ya Nairobi Sakaja Johnson anatoa taarifa kuhusu hali ya Nairobi ambapo anaratibu matumizi ya fedha na ukusanyaji wa ushuru kando na mikakati mingine ya kaunti hiyo.