21 Oct 2025 1:39 pm | Citizen TV 1,504 views Duration: 1:30 Gavana wa Kaunti ya Nandi, Stephen Sang, amesema kuwa ushirikiano unaoendelea kuimarika kati ya vyama vya UDA na ODM utaendelea hata baada ya kifo cha kinara wa chama cha ODM Raila Amolo Odinga.